Kozi fupi ya lugha na utamaduni wa Kijapani (Short Course of Japanese Language and Culture)

2025/1/28
Dar poster final
Dodoma poster final
Karibu kwenye kozi fupi ya lugha na utamaduni wa Kijapani itakayotolewa katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Chuo kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE).
Kozi hii inatolewa bure kwa wale wote wanaotaka kujifunza Kijapani kwa mara ya kwanza.
Watakaohudhuria kozi hii pia watapata bahati ya kufahamu fursa mbalimbali za ufadhili wa masomo (scholarship) nchini Japani. 
Baadhi ya madarasa yatarushwa moja kwa moja mtandaoni.

DUCE
【Schedule】
Tuesday, 4 February
(1) 9:30-11:30 “Overview of Japanese language”
(2) 11:30-13:30 “Experience Japanese Culture” & “About Scholarship”
Wednesday, 5 February
(3) 9:30-11:30 “Self-introduction in Japanese”
(4) 11:30-13:30 “Talk About Foods in Japanese” & “About Scholarship”Usajili mtandaoni
【Venue】
Lecture Room A (LR/A),
Dar es Salaam University College of Education (DUCE)
【Online registration】
https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSc1Z7YmCtfvjSNhWPn4FGIRZF65x2HTGsDsqONRxLzA2evZOg/viewform?usp=sharing

UDOM
【Schedule】
Tuesday, 11 February
(1) 9:30-11:30 “Overview of Japanese language”
(2) 11:30-13:30 “Experience Japanese Culture” & “About Scholarship”
Wednesday, 12 February
(3) 9:30-11:30 “Self-introduction in Japanese”
(4) 11:30-13:30 “Talk About Foods in Japanese” & “About Scholarship”
【Venue】
East Africa Hall,
Faculty of Computer Science and Information Technology
College of Informatics and Virtual Education, University of Dodoma (CIVE, UDOM)
【Online registration】
https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSfArj74f6bsvrffsspQL7JbKTkYz6gHYO2jSRDInLe_2ldrqQ/viewform?usp=sharing