Ambassador's Message on the General Elections 2020 / Ujumbe kutoka Balozi kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020
2020/11/4
I am troubled by the information of widespread irregularities and wrongdoings during the recent election process in this country. I am convinced that sound democracy based upon multiparty system works best to contribute to further development and prosperity of Tanzania.
GOTO Shinichi, Ambassador of Japan to Tanzania
GOTO Shinichi, Ambassador of Japan to Tanzania
Ninashangazwa na habari za hitilafu na ubadhilifu zilizoshuhudiwa kwa wingi nchini humu katika mchakato wa uchaguzi wa hivi karibuni. Nina uhakika demokrasia ya kweli chini ya mfumo wa vyama vingi itachangia zaidi maendeleo na ustawi wa Tanzania.
GOTO Shinichi, Balozi wa Japani nchini Tanzania
GOTO Shinichi, Balozi wa Japani nchini Tanzania